Nimekuuliza wewe unaye ona mbali,kama huna jibu sema tu usione aibu muona mbali.Waulize wale wanao mpost kila siku kwenye page zao Watakupa majibu halisi
Mkuu embu jaribu kuweka viambatanisho vya uingereza, ufaransa na warabu wakiwa wanamuongelea Fiston Kalala Mayele ili kunogesha uzi wakoWaulize wale wanao mpost kila siku kwenye page zao Watakupa majibu halisi
Nyota ndugu yangu mayele ana nyotaHuyu ni mchezaji ambae anambwembwe nyingi ila kihuharisia ni debe tupu nipe list ya wanaongoza kwa ufangaji wa magoal hapa kwenye lig yetu? Kwa sasa chaajab hizi kelele zinakua nyingi afu mwisho wa msim anaishiwa kupewa Ng'ombe tu
Kama hawana 9 bora mbna haanzi waLa kuitwa usikaTae ni mbovu2 bora katika Lig yetu kwa akiLii yako una dhan kabisa mayeLe awaweke bench watu wanachezea mbeLee tumia akiLii bhaSKutokutambuliwa na timu ya taifa sio kigezo cha kusema fiston sio bora ila kwasasa Kongo hawana namba 9 bora zaidi ya fiston mayele
Bora katika league kwani kwenye league yako hakuwa boraKama hawana 9 bora mbna haanzi waLa kuitwa usikaTae ni mbovu2 bora katika Lig yetu kwa akiLii yako una dhan kabisa mayeLe awaweke bench watu wanachezea mbeLee tumia akiLii bhaS
Kajifunze kuandikaHuyu ni mchezaji ambae anambwembwe nyingi ila kihuharisia ni debe tupu nipe list ya wanaongoza kwa ufangaji wa magoal hapa kwenye lig yetu? Kwa sasa chaajab hizi kelele zinakua nyingi afu mwisho wa msim anaishiwa kupewa Ng'ombe tu
Kajifunze kusomaKajifunze kuandika
Kiuhalisia✓
Kihuharisia X
Kolo mnapata tabu sana na bado