Mimi ni Composer/Melody Song Maker, natafuta connection

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,193
Hello guys,

Habari za jioni hii. Bila kupoteza muda wakuu nimekaa na nimetafakari nikaona niingie humu na hili jambo langu. Nia ya kufanya hivi ni katika kujikwamua kiuchumi kwa kutumia kile nilichopewa na Mungu.

Namshukuru Mungu nimezaliwa nikiwanna kipaji cha kutunga, kuandika na kuimba nyimbo. Kipaji hiki kiligunduliwa na kuanza kukitumia tangu nikiwa primary, tunajua namna ya safarI ya masomo kwa system ya elimu yetu kwakweli nikashindwa kukomaa zaidi kwenye kipaj changu ilibdi nisome maana hmna aliyewahi nielewa nilipoelezea kuhusu kukomalia hiki kipaji changu.

Mungu mwema nimemaliza degree ya sanaa na Elimu lakini mtaani kugumu hela ni ngum kuigenerate. Sasa nimekuwa natunga nyimbo kwa waya mbali mbali lakin kama mjuavyo wa "kwenu hupenda unafuu" najikuta sipat saana kupitia hilo hvyo nimewaza kupanua wigo kujaribi kutafuta watu wengine ambao wanaweza hitaji kuandikiwa nyimbo au melody kwa ajil ya kuimba.

Naamn na najua pia sio wote wanaoweza kuimba na kucompose. Hivyo naamin kupitia humu. Ni sehemu ambayo mm naiamin sana. Imenisaidia mengi sana kwa maisha haya, hasa ujasiriamali.

Naandika hili humu ili nisaidiwe connections. Nina huo uwezo na naamin Mungu alinipa ili niishi kupitia hilo pia. Natanguliza shukurani. Nimeona wengi wakisaidiwa mawazo na connections, naamini nami nitasaidiwa.

Natanguliza shukurani zangu za dhati
 
Wakenya wanatafuta watanzania wanaofanya haya kwa malipo kuna kipindi walikuwa wana watafta hadi huko Upwork na sikuwahi kuona aliyeapply.

Tafta namna mkuu
 
Wakenya wanatafuta watanzania wanaofanya haya kwa malipo kuna kipindi walikuwa wana watafta hadi huko Upwork na sikuwahi kuona aliyeapply.
Tafta namna mkuu
Kaka...nielekeze hata link zao nifollow....nisaidie mkuu
 
Mkuu mwaka jana nilikuwa naona Upwork ila mwaka huu sijaona
Sawa kaka....je huko upwork naeza pata wengine wanaohitaj hiyo huduma?
 
Hello guys...habari za jioni hii. Bila kupoteza muda wakuu nimekaa na nimetafakari nikaona niingie humu na hili jambo langu. Nia ya kufanya hivi ni katika kujikwamua kiuchumi kwa kutumia kile nilichopewa na Mungu.

Namshukuru Mungu nimezaliwa nikiwanna kipaji cha kutunga, kuandika na kuimba nyimbo. Kipaji hiki kiligunduliwa na kuanza kukitumia tangu nikiwa primary...tunajua namna ya safar ya masomo kwa system ya elimu yetu kwakweli nikashindwa kukomaa zaidi kwenye kipaj changu ilibdi nisome maana hmna aliyewahi nielewa nilipoelezea kuhusu kukomalia hiki kipaji changu.

Mungu mwema nimemaliza degree ya sanaa na Elimu lakini mtaani kugumu hela ni ngum kuigenerate. Sasa nimekuwa natunga nyimbo kwa waya mbali mbali lakin kama mjuavyo wa "kwenu hupenda unafuu" najikuta sipat saana kupitia hilo hvyo nimewaza kupanua wigo kujaribi kutafuta watu wengine ambao wanaweza hitaji kuandikiwa nyimbo au melody kwa ajil ya kuimba.

Naamn na najua pia sio wote wanaoweza kuimba na kucompose. Hivyo naamin kupitia humu...Ni sehemu ambayo mm naiamin sana. Imenisaidia mengi sana kwa maisha haya...hasa ujasiriamali.

Naandika hili humu ili nisaidiwe connections. Nina huo uwezo na naamin Mungu alinipa ili niishi kupitia hilo pia. Natanguliza shukurani. Nimeona wengi wakisaidiwa mawazo na connections, naamn nami nitasaidiwa, Natanguliza shukurani zangu za dhati
 
1.Uko mkoa/sehemu gani?
2. Una nyimbo ngapi ulizo rekodi mpaka sasa?
 
1.Uko mkoa/sehemu gani?
2. Una nyimbo ngapi ulizo rekodi mpaka sasa?
Mimi napatikana Morogoro mkuu. Nimesharekod nyimbo kama 7 kati ya hizo mbili hazjakamilika ni katika tu kusave melody isipotee....ila kichwan bado nnazo nyingi sana...naomba connection ndugu yangu
 
Jamani bado sijapata connection.....nimejarbu kuwatafuta hata hao THT...no response asee....
 
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Mimi napatikana Morogoro mkuu. Nimesharekod nyimbo kama 7 kati ya hizo mbili hazjakamilika ni katika tu kusave melody isipotee....ila kichwan bado nnazo nyingi sana...naomba connection ndugu yangu
Unamjua Ellybeatz hapo Moro? Mtafute
 
Msearch kwa jina hilo hilo , ana studio maeneo ya Vibandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…