Mimi na vibonge,vibonge na mimi

thA bubs

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
272
Reaction score
204
Msaada kwenu wakuu,umbo langu ni dogo dogo halafu kila couple inayo happen inakuwa ni le big mamas,inafikiwa wakati hadi home wananisema nadate mama zangu,
Nifanyeje mwenzenu mana hizi show sometimes zinani embrace kiukweli.
Vipi kama nikizama gym nitapasuka kidogo?
The avater over there is my goddamnit I'd,realist!
[/IMG]

I make a shade move,veeerry legal!!
But stupid
 
Upo fit. Binadam asiye kasoro hupenda asichokuwa nacho.
Wewe kimbaumbau kupenda ma miss bonge ni kanuni.
Umesema hiyo picha ya avatar ni yako kiuhalisia, wawezaje kujutia chaguo lako hilo?
Mwanamke huyo anaonekana ni bomba kishenzi, ni mwanamke wa haja hasa.
Sasa kwa tamaa zako unajiona hautoshi kumiliki kifaa kikubwa!
Wewe tangatanga nae, uone kama atabaki barabarani. Kuna mafisi yanasubiria udondoshe yadake, shauri yako.
Vijana wa sikuhizi mna laana gani lkn?
Mwanamke mnene, kiafrika ndiyo mwanamke wa heshima hata kuongozana nae mabarabarani.
Hauoni mlivyopendeza!
Ww vp?
 
Me binafsi ni model na kilo zangu 56 but napenda ma big mama yenye above 90kg but mnyeo lazima uwepo wa kutosha na sio flat
 
Mkuu umenena lakin sasa home wanabonga sana,
The lady is fat,man is slim Honestly hata nikiwa nae naona duh,ila babyface
 
Kwel ni mzur mkuu,ila saa body morphology ni sawa kumchukua jux na asha boko,dooh
 
tafuta wa size yako mzee
Binafsi sitongozaj mkuu,wanajitokez tu mkuu afu wote mabonge,
Worse enough I'm Muslim and I would like to have a mate of the same religion, ila sasa dah sijawahi pata hiyo type mzee,what is wrong with me?
 
Mmmh haiwezekani mkuu..hujapata kabisa?
 
Mkuu umenena lakin sasa home wanabonga sana,
The lady is fat,man is slim Honestly hata nikiwa nae naona duh,ila babyface
Umeonaeh! Kwan wewe ni mdogo kias gani kushindwa kuhama home kuepuka ngebe zao, ili ufaidi maisha?
Kitu kikubwa kizuri asikwambie mtu, ndiyo habari ya mjini.
Sasa hapo home wanaoleta za kuleta, sazingine wivu.
Binadamu wanaunafiki wa kuponda wanachokitamani.
Umewapiga bao wanabaki midomo juu! Hama ila usimwache bonge kwa ajili ya kuwaridhisha wao.
 
Binafsi sitongozaj mkuu,wanajitokez tu mkuu afu wote mabonge,
Worse enough I'm Muslim and I would like to have a mate of the same religion, ila sasa dah sijawahi pata hiyo type mzee,what is wrong with me?
Mie mwembamba unanitaka[emoji15] [emoji15] [emoji15] ?????

Sent from my HUAWEI Y550-L01 using JamiiForums mobile app
 
Samua pm me if you care!

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Tamu iloo [emoji39]

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…