Mimi huwa nafanya kinyume na mke wangu…………!

Hahahaha, Nimeitafakari heading! Usishangae reaction za watu, sisi ndio wabongo bana watu tumeona na kusikia mengi kiasi kwamba mtu akisikia mwiziii tayari keshabeba panga ndo anaanza kuuliza yuko wapi? akishaua atauliza kwani aliiba nini vile?
 
Mkuu mtambuzi awali nilipita! ila nimeona isinipite hivihivi hii thread. . nilipoona heading nikastaajabu you kno why! but nilivoona mwanzilishi ni wewe nikajiambia ni zile story zetu. . imetoka mahakamani hii! ghafla nikakuta muhusika wa hadithi ni we mwenyewe! nikagundua ni ule uwekaji wa heading kama wa magazeti pendwa lol. . kweli wewe ni mtunzi by professional! hili suala lako na wife nitarudi!
 
Hebu nichangieni na mie nianzishe kagazeti kangu ka UDAKU basi.............!
 
nimeshtuka kweli mzee niliposikia unafanya kinyume na mkeo.:fear:......:fear:..... haya mambo ya tungo tata uache aisee, nilishaenda kuita mchungaji:doh::doh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…