Hii post inanipa machungu kweli...juzi tu tarehe 22 mimba ya mpenzi wangu imeharibika....ye tangu amepata mimba tumbo lilikuwa linamsumbua sana na mara chache alihissi vidamu damu...j3 ilikuwa aanze kliniki ila usiku wa siku hiyo alianguka chooni na mimba ikaharibika.....ooooopss tayari nlikuwa na ndoto nyingi..daaagh