RUKUKU BOY JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 1,588 Reaction score 1,858 Feb 13, 2019 #1 Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue... Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue... Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 Feb 13, 2019 #2 RUKUKU BOY said: #moderator plz upeleke uzi JF doctors Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Moderator unawaita kwa # ?
RUKUKU BOY said: #moderator plz upeleke uzi JF doctors Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Moderator unawaita kwa # ?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,191 Reaction score 69,714 Feb 13, 2019 #3 Ngoja Doctor Waje
Shuli JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 264 Reaction score 633 Feb 13, 2019 #4 Standard ni wiki 38. Lakini anaweza kujifungua wiki 2 kabla au baada. Kwa hiyo kati wiki 36-40 mtoto yuko POA kabisa ki afya Sent using Jamii Forums mobile app
Standard ni wiki 38. Lakini anaweza kujifungua wiki 2 kabla au baada. Kwa hiyo kati wiki 36-40 mtoto yuko POA kabisa ki afya Sent using Jamii Forums mobile app
Shuli JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 264 Reaction score 633 Feb 13, 2019 #5 Kwa mara nyingi watoto wanaozaliwa kabla ya wiki ya 38, wanakuwa wa kike. Na wanaozaliwa baada ni wa kiume Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara nyingi watoto wanaozaliwa kabla ya wiki ya 38, wanakuwa wa kike. Na wanaozaliwa baada ni wa kiume Sent using Jamii Forums mobile app
faraji 95 Member Joined Feb 17, 2019 Posts 19 Reaction score 8 Feb 18, 2019 #6 RUKUKU BOY said: Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue... Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kwa mimba ya kawaida ni wiki 36 hadi wiki 40 kwahiyo hamna shida hapo mtoto atakuwa na afya nzur tu
RUKUKU BOY said: Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue... Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kwa mimba ya kawaida ni wiki 36 hadi wiki 40 kwahiyo hamna shida hapo mtoto atakuwa na afya nzur tu