mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
sasa miaka miwili unapiga daily hata siku moja usipatie??kwanza kinachohitajika si mbegu tu?ayo mengine yanatoka wpaiinabidi uwe sharp- shooter and good- timer ili uweze kuongeza chances za ku-hit the bull.... haya mambo si ya kupiga nje-ndani tu ukafikiri umemaliza shughuli
Eti Mtambuzi anasema kwakuwa hawanywi pombe!
Some of us r very fertile, labda shida ya kina baba, si unajua it takes two to tango!
Eti Mtambuzi anasema kwakuwa hawanywi pombe!
Some of us r very fertile, labda shida ya kina baba, si unajua it takes two to tango!
sometimes even chemistry between the two can be a 'bottleneck' to conceiving
sometimes even chemistry between the two can be a 'bottleneck' to conceiving
Ngono za mapema, Kutumia vidonge vya uzazi wa mpango, kuishi katika uhusiano wenye vurugu vyote hivi husababisha ugumu kwa mwanamke kushika mimba, lakini pia ziko sababu za kibaiolojia..........................
Yataka moyo kumeza............................. Chezea wakwe na mawifi weye.............!
Mtoa mada mimi nakuunga mkono kwa 100%.sasa hivi unaweza pata mtoto mmoja mkasema tunapumzika,mkitaka kutafuta wa pili kazi ipo mimba haishiki watu wengi tumeliona hilo nadhani kunatatizo kubwa sasa sijui ni zile dawa za uzazi wa mpango au?tatizo lingine ni wakina mama sasa hivi hawana mazoezi nadhani pia kinachangia sana au sijui ni vyakula//yaani kushika mimba sasa hivi mpaka watumie dawa ya kumsaidia kuziweka homones zao vizuri