Asante,je hakuna tiba nyingine zaidi ya hii ya upasuajiInategemea na sehemu ulipokuwa.
Kama ilikuwa kwenye mrija na ukatolewa inamaanisha atakuwa kabakiwa na mrija mmoja.
Hivyo chances zinapungua.
Na Kama mrija uliobaki una matatizo the chances inakuwa ndogo zaidi.