seanhenrick New Member Joined Jan 24, 2018 Posts 3 Reaction score 3 Jan 25, 2018 #1 Hivi inaashilia nini kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa wakati watoto wa shule hawana mahala pa kusomea namaanisha majengo ya madarasa nakadhalika
Hivi inaashilia nini kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa wakati watoto wa shule hawana mahala pa kusomea namaanisha majengo ya madarasa nakadhalika
Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,193 Jan 25, 2018 #2 Hii nchi ukiwaza sanaaaaa
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,100 Jan 25, 2018 #3 Trump hakukosea ku...[emoji12]
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,334 Jan 25, 2018 #4 Sera MUFILISI za yule mbadhirifu mkubwa anayedai anabana matumizi kumbe ni kinyume chake. seanhenrick said: Hivi inaashilia nini kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa wakati watoto wa shule hawana mahala pa kusomea namaanisha majengo ya madarasa nakadhalika Click to expand...
Sera MUFILISI za yule mbadhirifu mkubwa anayedai anabana matumizi kumbe ni kinyume chake. seanhenrick said: Hivi inaashilia nini kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa wakati watoto wa shule hawana mahala pa kusomea namaanisha majengo ya madarasa nakadhalika Click to expand...
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,217 Reaction score 27,045 Jan 25, 2018 #5 Shit hole country
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 Jan 25, 2018 #6 Mkuu kuchagua ni kupanga! Wenzetu wa Kenya wanawekeza kwenye satellites na Elimu ya anga za juu sisi tumewekeza kwenye uchaguzi!
Mkuu kuchagua ni kupanga! Wenzetu wa Kenya wanawekeza kwenye satellites na Elimu ya anga za juu sisi tumewekeza kwenye uchaguzi!
U unprejudiced JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 3,503 Reaction score 2,869 Jan 25, 2018 #7 Ahh Watanzania lazima waongee. Sasa wanasifia kenya.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,683 Jan 25, 2018 #8 They dont care.
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,353 Reaction score 22,963 Jan 25, 2018 #9 Glas said: Hii nchi ukiwaza sanaaaaa Click to expand... Unaitwa mchochezi