Siku nyingine ukiwa na biashara kama hivi uwe unaweka na vielelezo vya kutosha Kama picha, ramani, maelekezo ya kina ya jinsi ya kufika, vielelezo vya umiliki au Kama wewe ni dalali pia semaNauza Nyumba kwa bei poa kabisa, kuanzia milioni 15, 20, 25, 30, 40, 50......200. Kwa maeneo ya CHAMAZI. Swali lolote unaruhusiwa kuuliza na utajibiwa.
Udalali haramu huo, hata picha au vielelezo vyovyote hakuna kisha unategemea upate mteja?!Nauza Nyumba kwa bei poa kabisa, kuanzia milioni 15, 20, 25, 30, 40, 50......200. Kwa maeneo ya CHAMAZI. Swali lolote unaruhusiwa kuuliza na utajibiwa.