Dreva mmoja alikabidhiwa vichaa hospital ya muhimbil awapeleke mileme,alipofika chalinze akasimamisha gar apate breakfast,ndipo kichaa mmoja alipopitia dirishan akawafungulia vichaa wenzake wote wakatokomea.,Dreva alivyomaliza kunywa chai kwenda kwenye gar akakuta liko waz!,akachekecha akil akapata jibu akaanza kupiga debe milembe bure milembe bure watu kwa kupenda vya dezo wakajazana ndan ya gar jamaa na gia mpaka milembe!,kufika akawakabidhi madokita gar na wagonjwa wao ye na moto.