Milango ya mninga inauzwa

Milango ya mninga inauzwa

sorony makoba

Member
Joined
May 16, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Milango ya mninga inauzwa kwa bei poa,ipo single na double kwa mawasiliano piga simu.0783201037.

Single:upana 33 kwa 210 urefu
Double:upana 45 kwa 210 urefu.

Bei:single 180000
. double 280000.
 
Milango ya mninga inauzwa kwa bei poa,ipo single na double kwa mawasiliano piga simu.0783201037.
 
Weka japo bei yake ila hat mtu akipiga anatoa oda tu hii itasaidia kupunguza usumbufu usio wa lazima
 
Weka bei pia vipimo vya hiyo milango.Picha Ni muhimu kwa ajili ya kuona design na finishing yake.
 
Weka bei si kila mtu anapenda kupiga simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom