The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,248
Hizo bei nimeweka kutokana na picha uliyowekaInategemea na muundo kuna hadi ya laki mbili na sitini hadi na hamsini ipo...ila muundo ambao nmepost mm huwa nauza bei hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhhhh.....
Mkuu, hongera kwa kutengeneza milango mizuri sana.
Ila ndoivo kama unavyo ona...[emoji25] [emoji22] View attachment 844954
Sent using Jamii Forums mobile app
Lahaulaaa lakwata.......[emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]
Lahaulaaa lakwata.......[emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]
Mdomo wangu umebaki wazi wallah...[emoji46] [emoji46]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo bei atizame upya labda kama ni pamoja na usafirishaji japo haina maana sana sababu ndio bei za hapa dsm na zipo chini zaidi ya hizo kabisaHizo milango bei imechangamka sana wenzio single wanauza 300000 double 450000-500000 halafu huo sio mninga
Wanikumbusha waziri wa Umeme alisema ...peleka umeme kwenye nyumba yoyote mradi anaishi mtu humo...Dahhhhh.....
Mkuu, hongera kwa kutengeneza milango mizuri sana.
Ila ndoivo kama unavyo ona...[emoji25] [emoji22] View attachment 844954
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo bei kubwa sana.Inategemea na muundo kuna hadi ya laki mbili na sitini hadi na hamsini ipo...ila muundo ambao nmepost mm huwa nauza bei hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa kama alivyosema hapo juu sio fundi ila dalali kwa haiyo hapo ameshaweka na cha kwake cha udalaliHizo milango bei imechangamka sana wenzio single wanauza 300000 double 450000-500000 halafu huo sio mninga
Hapa sio kwa mganga mkuu, hapa napambana na hali yangu....[emoji22] [emoji25]Kivipi tena? Nyumba za waganga wa kienyeji zajulikana jamani.
Nimeshamsoma ndio maana na mimi nikamwambia nimeweka hizo bei kutokana na picha ya milango aliyoiweka mwisho kakubali dizain hiyo hiyo unaweza ukuipata sehemu kwa nafuuHuyu jamaa kama alivyosema hapo juu sio fundi ila dalali kwa haiyo hapo ameshaweka na cha kwake cha udalali
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei nilizoandika ni pamoja na usafiri hadi dar....soma maelezo vizurHizo bei atizame upya labda kama ni pamoja na usafirishaji japo haina maana sana sababu ndio bei za hapa dsm na zipo chini zaidi ya hizo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sio dalali bali nna mafundi nmeajiri...nitafute kwa whatsapp nikupe vibali vyangu pamoja na tin uoneHuyu jamaa kama alivyosema hapo juu sio fundi ila dalali kwa haiyo hapo ameshaweka na cha kwake cha udalali
Sent using Jamii Forums mobile app