Hahahahaa ni mizito balaa kwenye kuipakia kwenye gafi majeraha hayaepukikiInapendeza sana.sema mlango huo ukikubana kidole lazima kiwe kibubutu.
Hahahaa mzee baba umetishaaaaDahhhhh.....
Mkuu, hongera kwa kutengeneza milango mizuri sana.
Ila ndoivo kama unavyo ona...[emoji25] [emoji22] View attachment 844954
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu si mninga majiHabari za leo wadau,kwa wale ambao mnajenga nyumba kwa ajili ya makazi au biashara basi msisite kututafuta kwa ajili ya kuwapatia milango bora ya mbao ngumu(Mninga na mkongo)Milango yetu tunaitengenezea tabora ila tunaisafirisha popote pale mteja alipo
Bei zetu ni nafuu sana tofauti na wengine kama ifuatavyo:-
Single top pekee...... .........Tsh 350,000/-
Double top pekee...............Tsh 550,000/-
Single frame pekee............Tsh 200,000/-
Double frame pekee...........Tsh 250,000/-
Single frame +top...............Tsh 550,000/-
Double frame +top.............Tsh 800,000/-
email:- adonaimilangoshop@gmail.com
Call/whatsapp +255 625 808 748
Karibuni sanaView attachment 844867View attachment 844869View attachment 844872
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaposema double namaanisha ile milango ambayo inakuwa ya nje ule upande wa kuingilia ambayo inakuwa two in oneHapo single top ni upi na double top ni upi?
Mm sio fundi ila nna mafundi nmewaajiri kwa hiyo sijawah kufanya hivyo ulivyoulzaNimekuelewa
Je mtu akinunua mbao utamtengenezea kwa bei gani?
Inategemea na muundo kuna hadi ya laki mbili na sitini hadi na hamsini ipo...ila muundo ambao nmepost mm huwa nauza bei hiyoHizo milango bei imechangamka sana wenzio single wanauza 300000 double 450000-500000 halafu huo sio mninga
Ile muundo mingine mm huwa sitengeneziHizo milango bei imechangamka sana wenzio single wanauza 300000 double 450000-500000 halafu huo sio mninga
Ambao sio mninga ni upi?Hizo milango bei imechangamka sana wenzio single wanauza 300000 double 450000-500000 halafu huo sio mninga