VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
AC Milan sio kama hizi clubs za kipofu kaona mwezi. Ubingwa mara mojaklabu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni yaani AC Milan au Rosonelli au Diavolo hapo jana wameweza kutuma salam kwa mahasidi waliokuwa hawaishi kutwa kucha kutupiga vijembe ati Milan tumechoka...
Sasa limewashuka na wameingia chini ya meza...
Ikicheza kama vile ni mazoezi klabu ya Milan ilitawala soka hilo kwa dakika zoote na kufanya makocha wa timu kubwa barani ulaya kuanza kujamba jamba kwa hofu.
AC Milan sio kama hizi clubs za kipofu kaona mwezi. Ubingwa mara moja
Kaka sasa hivi utaambiwa madai hayo ni ya ManU.Mafanikio ya kweli yapo Milan...
Mastaa wa ukweli wamechezea Milan...
Mashabiki wafulukutwa, wafiligiswa mpaka kugalagala tuko Milan.
[h=1]Szczesny targets Euro crown[/h]Wojciech Szczesny sees no reason why Arsenal cannot land the UEFA Champions League crown this season.
Last Updated: 22/11/12 at 13:25 Post CommentChampions League Winner 12/13 Win Outright: ArsenalHuyu bwana mdogo anadai eti Arsenal watachukuaWojciech Szczesny: Believes Arsenal can conquer the continent
Wojciech Szczesny: Believes Arsenal can conquer the continent
The Gunners have yet to get their hands on the most illustrious piece of silverware in European football's trophy cabinet, with a final defeat to Barcelona in 2006 as close as they have come.
Huyu bwana mdogo anadai Arsenal watabeba UEFA champions leage this year!
Ana wazimu huyu ushuzi...
Anafikiri kila timu ni rukhsa kunyanyua ile ndoo eeh?
lile kombe linanyanyuliwa na wachezaji waliokamilika, sio kajamba nani kama yeye
Ha ha ha!! Watu wa Arsenal watakusulubu