L luckypepeta Member Joined Dec 26, 2015 Posts 25 Reaction score 8 Mar 12, 2016 #1 Hii mikutano ya wadau inayoendeshwa na hii mifuko ya hifadhi ya jamii kila mwaka ina tija kwa wanachama wao? Pesa zinazotumika kuendesha hii mikutano ni kubwa; je kuna haja ya kufanyika kila mwaka?
Hii mikutano ya wadau inayoendeshwa na hii mifuko ya hifadhi ya jamii kila mwaka ina tija kwa wanachama wao? Pesa zinazotumika kuendesha hii mikutano ni kubwa; je kuna haja ya kufanyika kila mwaka?