Mikopo ya haraka na masharti nafuu

AVEDIUSS

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
35
Reaction score
9
Hello unakaribishwa Enterprise finance limited(EFL), kwa huduma ya mikopo ya haraka na masharti nafuu.Tupo Dar es salaam na Arusha. kwa mawasiliano zaidi piga simu no.0763882788 au 0656862682. Email info@efl.co.tz. au tembelea tovuti yetu www,efl.co.tz karibu sana.
 
Kwa wafanyakazi wa serikali tu ama hata kwa asasi zisizo za kiserikali?
 


Siyo nafuu kabisa! riba yenu ni kubwa sana! ukichukua 10,000,000/= unarudisha 14,800,000/= kwa miezi sita inamaana riba hapo cumulatively 48% au 8% kwa kila mwezi.
 
me nacheka tu cheka cheka tu hahahahha
watu majibu yao makavu sana
 

Masharti nafuu ndio yepi? Taja masharti .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…