Mikopo ya bajaji na kirikuu

Mikopo ya bajaji na kirikuu

Luge son

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
24
Reaction score
18
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo nina uzoefu nazo katika kuzifanya.
 
namimi nataka mkopo kwa kutumia hati ya nyuma na sio mambo tin wala nini
 
Back
Top Bottom