Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Kiongozi hiz taarifa zako si sahihi kabsa. Mikopo ya watumishi kwa crdb ni 18%(pamoja na bima). Processing fee ni 1.5% ya total loan. Hakuna garama ya pass. Pass ni kwa ajili ya mikopo ya kilimo. Nmb ni sahih riba ya watumishi wa kawaida ni 20% wanajeshi ni something like 13% hivi na madiwani ni 17. Madiwani ni 16 kwa crdb. Pia Crdb muda wa marejesho ni hadi miaka 6. Kwa nmb sina hakika ila last time nilipofuatilia ilikuwa ni 5 yrs.Tofauti ya riba ipo mkuu.,Hizi benk mbili Mikopo ya watumishi NMB ni 20% na CRDB ni,24% na mara nying CRDB watakuambia ni 20%..,kuna 4% huwa hawaionyeshi ila iko ktk makato ambapo 2% inakatwa kwenda PASS.,1.5 inakatwa kama gharama za mkopo.,na 0.5% hukatwa kama gharama za benk
WanakopeshaEquity bank, inakopesha wafanyakazi?
Acha kupotosha mkuu..Tofauti ya riba ipo mkuu.,Hizi benk mbili Mikopo ya watumishi NMB ni 20% na CRDB ni,24% na mara nying CRDB watakuambia ni 20%..,kuna 4% huwa hawaionyeshi ila iko ktk makato ambapo 2% inakatwa kwenda PASS.,1.5 inakatwa kama gharama za mkopo.,na 0.5% hukatwa kama gharama za benk
Mkuu, nimependa mno ufafanuzi wako. Je kuna uataraibu gani wa kufuata kwa mwalimu kuomba mkopo CRDB? provided mshahara wake unapitia NMB?Acha kupotosha mkuu..
Riba ya CRDB kwa personal loans zote ni 18%(ikihusisha na 1% ya bima ndani yake) wala sio 24% kama unavodai.
Ila mkopo wowote wa Crdb kama ilivyo kwa benki nyingine lzm kuwepo na ada.
●Kwa CRDB iko ni 1.1% ya mkopo ni Loan application fee na minimum ni 110,000
●0.55% ya mkopo ni Loan processing fee na minimum ni 55,000
Kwa mfano mikopo yote inayoanzia 5,000,000 na kushuka had 1,500,000 ada yake ni 165,000 tu(minimum threshold) ambayo ni one-time fee.
●Na kuanzia mwezi Disemba mwaka CRDB inakopesha hadi miaka 6.
Huu ndo ukweli na huhitaji kujua mimi ni nani CRDB ili uniamini
Utaratibu ni rahisi tuMkuu, nimependa mno ufafanuzi wako. Je kuna uataraibu gani wa kufuata kwa mwalimu kuomba mkopo CRDB? provided mshahara wake unapitia NMB?
Hahaha...kazi kweli kweliNimependa hii mada mleta mada nakutunuku udaktari WA miezi mitatu . Ikiisha ubaki vile vile ulivokua
Kama mie mshahara wangu ni 525000 kwa mfano ntakua naeza kopeshwa sh ngap??Utaratibu ni rahisi tu
●Salary slip za miezi 3 ya karibuni
●Picha(passport size) mbili
●Barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
●Barua yako ya kuomba mkopo(ipitie kwa mkuu wa kituo chakp cha kazi)
●Bank statement ya angalau miez mitatu ya unakopitia mshahara wako
●Kitambulisho chako,e.g cha kazi,cha kupira kura etc
Na lazima uwe na akaunti katika benki ya CRDB ambako mkopo wako utawekwa huko .
Ni hivo tu
Natakiwa nijue Gross pay(basic salary ongeza na allowances zako ambazo ni static) nijue na take home...Kama mie mshahara wangu ni 525000 kwa mfano ntakua naeza kopeshwa sh ngap??
mkuu barua ya sijui ya ajira/ kuthibitishwa kazini vip hamuhitaji kwa hiyoUtaratibu ni rahisi tu
●Salary slip za miezi 3 ya karibuni
●Picha(passport size) mbili
●Barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
●Barua yako ya kuomba mkopo(ipitie kwa mkuu wa kituo chakp cha kazi)
●Bank statement ya angalau miez mitatu ya unakopitia mshahara wako
●Kitambulisho chako,e.g cha kazi,cha kupira kura etc
Na lazima uwe na akaunti katika benki ya CRDB ambako mkopo wako utawekwa huko .
Ni hivo tu
Sorry nilisahaumkuu barua ya sijui ya ajira/ kuthibitishwa kazini vip hamuhitaji kwa hiyo
Kwa sasa Tanzania, benki ni NMB PLC kwa mahitaji yako yote kwa kukopa na huduma zote za kibenki.