MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,125 Oct 22, 2023 #21 Unakopa halafu unalipa kila siku alooo kweli hio ni kausha damu
M Muhimbu JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 4,002 Reaction score 7,578 Nov 13, 2023 #22 Salary Slip said: Bora Mwananchi wameona umuhimu wa kulisema hili jambo kwani BOT na serikali wamelala usingizi Click to expand... Assume sasa hizo taasisi zikaondolewa kabisa, hao wakina mama wakaanga mihogo huko njiani wataendeshaje biashara zao?
Salary Slip said: Bora Mwananchi wameona umuhimu wa kulisema hili jambo kwani BOT na serikali wamelala usingizi Click to expand... Assume sasa hizo taasisi zikaondolewa kabisa, hao wakina mama wakaanga mihogo huko njiani wataendeshaje biashara zao?