christina sabbas
Member
- Oct 3, 2016
- 74
- 23
NakusubiriChristina kweli hapo umetukwamua......ngoja nije
Lazima ibaki moja ya tatu kwenye mshahara wako tukishapiga mahesabuHata nikiwa napokea mshahara kima cha chini kabisa 120,000?
Labda ulete basic salary na take home zote nipige hesabuHata nikiwa napokea mshahara kima cha chini kabisa 120,000?
Unanipa mashaka/wasiwasi...African capital ni taasisi inayohusiana na utoaji wa mikopo kwa watumishi/ wafanyakazi wa serikalo dar es salaam. Ni kwanzia laki mbili mpaka million kumi na malipo ni kwanzia miezi sita mpaka miaka mitano. Riba 18% kwa mwaka
Masharti ni uwe mfanyakazi wa serikali, uwe na kitambulisho cha kazi na cha uraia, picha moja, bank statement na salary slip tatu za miezi ya hivi karibuni. Tupo maeneo ya posta mpya karibu na NMB HOUSE . Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0653099785
Hamna dhamana yoyoteSisi wa sekta binafsi naona tumetengwa, ila naweza kuwashauri jamaa zangu wa karibu waje kuzungumza na nyie,
Je kuna dhamana yoyote inayohitajika ? Maana na hii tumbua tumbua unaweza kuta amekopa leo halafu kesho ametenguliwa