Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Aliyekudanganya kuwa Iran ni mwarabu nani?Iran inaenda kupigwa muda si mrefu kama baadhi ya waarabu wenzake wameungana na wazungu kumpiga ndugu Yao sidhani kama itachukua miaka
Iran inaenda kupigwa muda si mrefu kama baadhi ya waarabu wenzake wameungana na wazungu kumpiga ndugu Yao sidhani kama itachukua miaka
Kelele tu izi...huyu kakalisha matako marekani anatoa ripoti ya uarabuni utadhani panamuhusu sasaTehran is behind nearly 100 attacks on Saudi Arabia while Rouhani and Zarif pretend to engage in diplomacy. Amid all the calls for de-escalation, Iran has now launched an unprecedented attack on the world’s energy supply. There is no evidence the attacks came from Yemen.
— Secretary Pompeo (@SecPompeo) September 14, 2019
Basi watakuwa waafricaIran sio waarabu. ..Halafu hakuna wakuipiga iran aise. Acha kujidanganya
Iran inaenda kupigwa muda si mrefu kama baadhi ya waarabu wenzake wameungana na wazungu kumpiga ndugu Yao sidhani kama itachukua miaka
TATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).Unaweza ukawa sahihi ila tambua kuwa Kuipiga au Kuivamia Iran kunahitaji Umakini wa hali ya juu na Tahadhari zote zichukuliwe kwani kumbuka hata hapo Iran pia kuna Damu ya Kiyahudi iliachwa ( japo wana mrengo wa Kiislamu zaidi ) na wamefanya makubwa katika Idara zao za Kijasusi na hadi Jeshini bila kusahau katika Matumizi ya Teknolojia hivyo usije ukashangaa kuwa anavamiwa kweli na hawa Wababe ila nakuhakikishia hata kama wakimshinda ( wakimpiga ) ila na Yeye ( Iran ) ataacha ' Madhara ' makubwa mno Kwao hasa ya Kiuchumi na Uhai na watakuja ' Kujuta ' mbele ya safari. Kumpiga Iran siyo rahisi kama ilivyokuwa kwa Iraq. Iran tokea Iraq ilivyovamiwa na Marekani pamoja na Washirika wake ilijua kuwa wanaofuata ni Wao hivyo na Wao wakaanza Kujiimarisha Kiujasusi, Kiteknolojia na Kijeshi hasa kwa Kutengeneza Silaha Kubwa, Hatari na Nzito hasa kwa Kupewa Misaada ya Rafiki zao Wakubwa Urusi na hakuna asiyejua kuwa kama kuna Nchi inayoogopwa mno na Marekani kwa sasa ni Urusi kisha inayofuatia ni DPRK ( Korea ya Kaskazini )
Kwahiyo wairan ni wachina au wandengereko?Aliyekudanganya kuwa Iran ni mwarabu nani?
Alisikika Mbwa Koko mmoja akimbwekea Mwanaume wa shoka IranTehran is behind nearly 100 attacks on Saudi Arabia while Rouhani and Zarif pretend to engage in diplomacy. Amid all the calls for de-escalation, Iran has now launched an unprecedented attack on the world’s energy supply. There is no evidence the attacks came from Yemen.
— Secretary Pompeo (@SecPompeo) September 14, 2019
TATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).
Pia tukumbuke kuwa hawa wazungu sio wajinga wa kuingia kichwakichwa kupigana vita ndiyo maana wamemwekea vikwazo vya uchumi tena vikali ili kumzoofisha kwanza.
Hawa waarabu ni wanafiki Tu sikuzote sitashangaa kuona nchi jirani zikitoa ardhi ili ndugu Yao apigwe
Iran sio waarabu. ..Halafu hakuna wakuipiga iran aise. Acha kujidanganya
War mongerTehran is behind nearly 100 attacks on Saudi Arabia while Rouhani and Zarif pretend to engage in diplomacy. Amid all the calls for de-escalation, Iran has now launched an unprecedented attack on the world’s energy supply. There is no evidence the attacks came from Yemen.
— Secretary Pompeo (@SecPompeo) September 14, 2019
Yale yale yaliyosababisha vita ya IraqKelele tu izi...huyu kakalisha matako marekani anatoa ripoti ya uarabuni utadhani panamuhusu sasa
Huwezi amini mmarekani na wanaoitwa washirika wake wametangulizwa mbele tu kwenye huu mgogoro. Israel yuko nyuma ya hawa watu na anatamani Iran ifutwe kwenye uso wa dunia. Mossad wameshauwa sana wanasayansi wa Iran kudhoofisha hatua wanazopiga kiteknoloji ila wameshindwa.TATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).
Pia tukumbuke kuwa hawa wazungu sio wajinga wa kuingia kichwakichwa kupigana vita ndiyo maana wamemwekea vikwazo vya uchumi tena vikali ili kumzoofisha kwanza.
Hawa waarabu ni wanafiki Tu sikuzote sitashangaa kuona nchi jirani zikitoa ardhi ili ndugu Yao apigwe
Ni. Waajemi(persians)sio waarabuTATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).
Pia tukumbuke kuwa hawa wazungu sio wajinga wa kuingia kichwakichwa kupigana vita ndiyo maana wamemwekea vikwazo vya uchumi tena vikali ili kumzoofisha kwanza.
Hawa waarabu ni wanafiki Tu sikuzote sitashangaa kuona nchi jirani zikitoa ardhi ili ndugu Yao apigwe
Gentamicin leo umekuwa war expart au intelligent expert war eneo la asia na middle east?!Unaweza ukawa sahihi ila tambua kuwa Kuipiga au Kuivamia Iran kunahitaji Umakini wa hali ya juu na Tahadhari zote zichukuliwe kwani kumbuka hata hapo Iran pia kuna Damu ya Kiyahudi iliachwa ( japo wana mrengo wa Kiislamu zaidi ) na wamefanya makubwa katika Idara zao za Kijasusi na hadi Jeshini bila kusahau katika Matumizi ya Teknolojia hivyo usije ukashangaa kuwa anavamiwa kweli na hawa Wababe ila nakuhakikishia hata kama wakimshinda ( wakimpiga ) ila na Yeye ( Iran ) ataacha ' Madhara ' makubwa mno Kwao hasa ya Kiuchumi na Uhai na watakuja ' Kujuta ' mbele ya safari. Kumpiga Iran siyo rahisi kama ilivyokuwa kwa Iraq. Iran tokea Iraq ilivyovamiwa na Marekani pamoja na Washirika wake ilijua kuwa wanaofuata ni Wao hivyo na Wao wakaanza Kujiimarisha Kiujasusi, Kiteknolojia na Kijeshi hasa kwa Kutengeneza Silaha Kubwa, Hatari na Nzito hasa kwa Kupewa Misaada ya Rafiki zao Wakubwa Urusi na hakuna asiyejua kuwa kama kuna Nchi inayoogopwa mno na Marekani kwa sasa ni Urusi kisha inayofuatia ni DPRK ( Korea ya Kaskazini )