Iran anamkosesha usingizi MarekaniMpaka sasaivi ni 3 - 0
Mkuu ingawa me sio mshabiki wa haya mambo lakini ukiiangalia kwa jicho jingine unaona Marekani anamuogopa Iran na Iran anaililia Usa kuhusu vikwazo anavyowekewa so unaweza weka 0-0.Isije ikawa yaleyale Marekani tunakupongeza ingawa Urusi na China hawakuambii.Mpaka sasaivi ni 3 - 0
haijawahi tokea!Iran anamkosesha usingizi Marekani
Kauli ya Pompeo, asema atafanya safari nchini Iran
Jul 26, 2019 12:54 UTC
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kwamba atafanya safari mjini Tehran ili kuifikishia Iran ujumbe wa siasa za nje za nchi yake.
Pompeo ameyasema hayo katika mahojiano na kanali ya Bloomberg na kuongeza kwamba, anataka kufanya safari mjini Tehran ili aweze kuzungumza na wananchi wa Iran kuhusiana na siasa za kigeni za serikali ya Rais Donald Trump. Pompeo ametoa matamshi hayo katika hali ambayo, Jumatano ya jana Mark Esper, Waziri wa Ulinzi wa Marekani alinukuliwa akisema kuwa, Washington ipo tayari kufanya mazungumzo na Tehran bila ya masharti yoyote.
Aidha viongozi wa Marekani wanatoa madai ya kutaka kusafiri nchini Iran na kufanya mazungumzo wakati ambao serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo baada ya kuchukua hatua ya upande mmoja ya kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kisha kurejesha vikwazo vya mafuta dhidi ya Tehran, ilianzisha siasa za mashinikizo ya juu zaidi na ya kidhalimu kuwalenga raia wa nchi hii. Hii ni katika hali ambayo kwa mara kadhaa Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kwamba licha ya mashinikizo ya Washington, kamwe Tehran haitosalimu amri kupitia mazungumzo ya mashinikizo.View attachment 1163693
""Hapo kwenye marekani tunakupongeza ingawa urusi na China tunashindwa kukuambia embu tueleweshe, sijaelewa mkuuuu"""Mkuu ingawa me sio mshabiki wa haya mambo lakini ukiiangalia kwa jicho jingine unaona Marekani anamuogopa Iran na Iran anaililia Usa kuhusu vikwazo anavyowekewa so unaweza weka 0-0.Isije ikawa yaleyale Marekani tunakupongeza ingawa Urusi na China hawakuambii.
If your thinking is true, US woul just stick on sanctions and not request dialogue. Mapema baada ya kuvunja makubaliano US iliweka masharti ndo mazungumzo yafikiriwe, Iran ikasema haina mpango wa kujadiliana nao. Sasa US alivyoona Iran imekaza akasema anataka majadiliano yasio na masharti ya mwanzo, hilo nalo linaonekana kugonga mwamba wameamua sasa kuwafuata Tehran kabisa na.Iran vikwazo vinamuumiza mno ila anajikaza tu mithili ya mtu mzima aliyekanyaga msumari katikati ya watoto.
Iran is bracing with painful and unprecedented economic sanctions that are rocking its now fragile economy.