Mwanza huwa inashika nafasi ya kwanza wakishindanisha majiji tu yaani Dar, Mbeya, Arusha, na Tanga.Ila wakiweka na miji Moshi is always number one then Iringa munispal,
Mkuu, naomba tofauti ya Majiji na Miji na Mji ni Ipi,
Pia Wingi/Plural na Umoja/Singular: Majiji - Jiji na Miji ni ???, na Mji - ???
Angalizo: Najua Jiji ni City. Pia kuna Mji Mikubwa, Miji ya Wastani na Miji Midogo.
Mji Mikubwa - Wakazi 100,000 na zaidi.
Miji ya Wastani - Wakazi kati ya 20,000 - 100,000.
Miji Midogo - Wakazi kati ya 5,000 - 20,000.