Miji 10 yakuvutia iliyojengwa juu ya mawe na miinuko duniani

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,447
AzenhasdoMar1-paulowjorge.jpg


kwa nchi za wenzetu hupendelea kufanya, hii ni miji iliyojengwa kwa ustadi mkubwa sehemu mbalimbali duniani. Imenivutia mtu wangu nikaona nikusogezee ustadi wa hii miji iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe, kwa harakaharaka kama pangekuwa hapajajengwa ilikuwa ni ngumu kwa mtu kukubali kuchukua kiwanja hata kama angepewa bure. Hizi ni pichaz za miji 10 iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe. Hii ni list kutoka worldtoptop.com

10- Azenhas do Mar, Ureno

AzenhasdoMar1-paulowjorge.jpg


9- Cinque Terre, Italia

CinqueTerre6.jpg


8- Tropea, Italia

Tropea2.jpg


7- Cuenca, Hispania

cuenca2.jpg


cuenca_cliffs_thebluebrick.jpg


6- Positano, Italia

Positano1-twojewlochy.jpg


5- Rocamadour, Ufaransa

Rocamadour1.jpg


rocamadour_cliif_town.jpg


4- Polignano a Mare, Italia

polignano_a_mare_tarantino_vincenzo.jpg


3- Ronda, Hispania

Ronda3.jpg


Ronda2.jpg


2- Kijiji cha Haid Al-Jazil- Wadi Dawan, Yemen

WadiDawan1.jpg


1- Constantine, Algeria

Constantine1-mariuszkluzniak.jpg


Constantine2-mariuszkluzniak.jpg


constantine10.jpg
 
Kwa ureno na Spain hiyo ni kawaida, wanasema katika ulaya basi Spain ni nchi ya wasanifu majengo...
Wazee wa Architecture kule wamejaa,
 
Napenda hapa nilipo kwani mji wenyewe hata jina unaitwa Rocky City. Nikienda Mabatini, Igogo, Kirumba juu, Bwiru, Bugando n.k. kote huko ni mawe tu.
Karibu Mwanza.
Mwanza..jpg
 
Back
Top Bottom