Hao walibya walijitakia dhahama kumuua Gadafi kwa kutumika na U.S. wacha waisomeSiasa za Africa ndio zinafanya hawa jamaa kukimbilia Ulaya maisha ni magumu sana kwa nchi kama Za west africa mfano Niger Nigeria Mali mauritania cameroon chad na sudani hasa Darfur
Hao walibya walijitakia dhahama kumuua Gadafi kwa kutumika na U.S. wacha waisome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ugumu wa maisha au kujiendekeza wanakufa kama nyumbu
Hao walibya walijitakia dhahama kumuua Gadafi kwa kutumika na U.S. wacha waisome
NATO boss wao ni USA.Vita ya Libya US hakuusika bro waliousika n France mkoloni wa libya na NATO
NATO boss wao ni USA.
USA amehusika directly kupitia CIA...
Obama anasema wazi wazi kwamba kati ya makosa aliyofanya kwenye utawala wake ni kumvamia GadafiVita ya Libya US hakuusika bro waliousika n France mkoloni wa libya na NATO