Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,970
- 36,443
Ndiyo, hilo jambo halijabadilika π πWewe si ulidai hautupi humu , kwamba unatupandisha nyegezi tu nakusepa zakoπ
πππ Sauti za rahaMkija mitandaoni ooh NRNE. Kumbe mkizima data mnatuzunguka mnaenda kufanya mahaba huko na kulia mnalia.
Basi alamsikiNdiyo hilo jambo halijabadilika π π
Cc π‘zero iq
- Unapenda kusikia zile sauti za mahaba au mpenzi / mwenza wako akizitoa zinakukera? β¨β¨
- Ushawahi kukutana na miguno au vilio vya ajabu mpaka vikakushangaza? ilikuwaje?
Mimi najitolea kusema kwa niaba ya wanawake, jamani wanaume tunapenda mkitoa hizo sauti zenu, jitahidini msitulombe kama mabubu. β¨β¨
Kwenye simulizi yangu ya mwisho ya βUtamu wa Tunda la katiβ nilisahau kuzungumzia hili.
Moja ya vitu ambavyo yule kaka aliwazidi wengine ni kutoa ile sauti nzito ya kiume mambo yakinoga na kunichombeza chombeza. Moto aliokua ananipelekea tayari ulikua unanichanganya ila ile mihemo na zile miguno ya "mmmh mamaaa" na sifa za hapa na pale vilinimaliza. β¨β¨β¨
SOMO LA LEO: Sauti, vilio na kiguni inanogesha tendo, siyo wanawake tu na nyie wanaume pia toeni, TUNAZIPENDA!
Ni hayo tu, Alamsiki!
Kimya kimya hainogi πMiguno yenyewe ya uongo, bora tufanye kimya kimya.
Kimya kimya hainogeiMiguno yenyewe ya uongo, bora tufanye kimya kimya.
Iwe ya ukweli sasa! Kuliko ya utapeliKimya kimya hainogei
You and me both mamie, mimi pia napenda sana πIt turns on, mwanaume akiwa analalamika, so sexy. And i dont think kama ni waigizaji as women nahisi they do it for really.
I love it.
Hovyooo..!Huwa napiga yowe nikitaka kutoa π¦π¦π¦π¦ kwenye unyevunyevu π