Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Lakini njaa mbaya sana..
Kiranga,Njaa ya nani sasa?
Njaa inaweza kuleta maendeleo. Winston Churchill alifika Uganda akaona nchi imejaa neema akasema labda hawa watu hawajishughulishi sana kwa sababu wana chakula na neema kochekoche.
Hivi bongo Miguna Miguna wetu nani? Hawa watu ni chumvi muhimu katika maendeleo ya political process, hata kama nusu tu ya wanayosema ni kweli.
Ab-Titchaz you know who can't wait for a Miguna narrative if not content. Say what you want about the man, he can lay his case.
I hear ye bro!
...hope you downloaded a copy of the last one.
...hii nikipata I will surely avail you a copy.
Meanwhile, dont get me wrong the guy is a friend. Mimi aliponiacha mataani is how he went about marketing the
last book. On a personal level the guy forgot about most of those who were with him in the trenches.
Alipokua hapa Canada he was ok...mainly to the male folk....wanawake wanamtazamo wao and I wont
speak for them. When he got with Raila and then started having fantasies of becoming Kenya's next
Attorney General, then the Luo in him started coming out. If you have lived amongst Luos, especially the Kenyan
type, then you will understand what I'm talking about.
Then the his ego got the best of him in the PM's office and the rest is history. Iko ishu nyengine siezi kuandika
hapa na itabidi niku-PM ndiposa unielewe. There is no love lost for the guy and like you say, love him or hate
him the man can hold his own...without a doubt.
I'm still wondering what happened to his quest for the gubernatorial seat of Nairobi County. After he wrote
the first book he was waxing lyrical about running for office. Those in the know what happened.
Kiranga,
Mimi si mwanasheria,lakini katika uwanja wa mahakamani, ikionekana kwa mfano mtuhumiwa alitekwa (kwa mfano tu),ingawa alikuwa na kosa jingine,kama ni mahakama huru,(kwa ughaibuni huko),basi Judge anaweza kuitupilia mbali kesi hiyo..Sijui sana mambo hayo,japo nilifatilia scene mbili tatu.
Back to Miguna case, Huyu Bwana anayasema yote haya baada ya kutimuliwa nafasi yake ya Ushauri wa PM,RAO.
JE KWANINI KAMA ODINGA ALIKUWA MCHAFU KIASI HICHO NAYE MIGUNA AKIWA MSHAURI,KWANINI HAKUJIUZURU?
Kwa sense ya kawaida sana unaweza kuja na conclusion hii,
(i). Tukose wote..Zingatia ameibuka wakati wa ukichafua kidogo,ume muua Tinga,
(ii). Odinga anavita kubwa sana na Wakikuyu (wanaodhani wana hati miliki ya utawala wa Kenya), hivi wanahangaika sana kutumia kila njia kumchinjia Odinga baharini.
Hata hivyo,kwa jinsi timing ya Peeling back the mask ilivyoibuliwa,kama Odinga angekuwa Mchafu kivile,ingekuwa mwisho wake.
Yeah,japo sijakimliza. na ujumbe aliokusudia niliuelewa.Umesoma kitabu?
Kiranga,
By Digital Reporter
NAIROBI, KENYA: After hue and cry that dogged his first book Peeling Back the Mask: A quest for Justice in Kenya, Miguna Miguna is back with yet another title set to roll off the press and will be unveiled in Nairobi in three weeks time.
Miguna's new book is titled Kidneys for the King and is coloured Orange like the party he worked for ages before falling out with the Prime Minister Raila Odinga and later parted ways after serving as the coalition adviser on Constitutional Affairs.
"My new book is set to be released and launched on Saturday February 16, 2013 at the Panafric Hotel in Nairobi. I hope you like it." Miguna said in a statement to the media.
Miguna at one time expressed interest in running for political office and appeared on TV shows bringing together aspirants for the Nairobi County Gubernatorial seat. He has since remained quiet and it is not clear if he is still in the race for elective leadership.
His First book Peeling Back the Mask was received with mixed feelings with some people backing him while others were angered by his attacks at Raila forcing him to cut short some of his launch functions.
The author has circulated the front cover of the book but it is not clear the subject of his literary works but your guess is as good as mine.
Standard Digital News - Kenya : Miguna's new Book
Miguna is a vampire who will nary succeed in his quest. He is a thankless fella who was awarded a good job by Raila. Again, instead of working he wanted to use Raila to reach where he won't. Miguna go tell it to the birds. Had you written before being booted out we would have cheered you instead of jeering at you. You are but a sucking and bloody gawk.
This is more complex than you are making it sound.
Umesoma kitabu?
Sijasoma kitabu chake zaidi ya uchambuzi wake uliofanywa na wengine. Muhimu kilichonisukuma kuandika na kuamini hivi ni motive behind writing the books. Anataka kulipiza kisasi jambo ambalo linafanya hoja zake kukosa mashiko. Wengi wanauliza; Kwanini kuandika baada ya kupiga kibuti? Simpo.
Hujasoma kitabu halafu unataka ku extrapolate motive and all? Wakati majibu ya maswali yako yapo kwenye kitabu?
Tena kitabu chenyewe kimewekwa bure mtandaoni huwezi kusema hata huna pesa za kununua?
Kama hujasoma kitabu huwezi ku criticize kisawasawa.
Soma kitabu kwanza.
Sija-criticize kitabu hata kama sijakisoma. Ugomvi wangu ni motive ya kuandika kitabu ambayo ni kulipiza kisasi kwa kufukuzwa. Swali kuu ni: Je Miguna asingebwagwa angeyaandika hayo anayoandika au kuendelea na kumuabudia Raila kama alivyokuwa akifanya? Sioni mantiki kwenye motive ya Miguna. Nadhani nia ya mtu yaweza kutoa picha ya nini anafanya.
Mi nakitaka hiki AB- TitchazSubirini nikatafute link ya kujipatia nakala yetu....:A S 100:
Mi nakitaka hiki AB- Titchaz
Peeling Back the Mask: A quest for Justice in Kenya.
Kama unacho kwenye PDF,nishushie
Asante kaka sio lazima iwe leo au kesho siku yoyote ah si unajua wakati ule MM anamwaga mtama kwenye kuku wengi TZ tulikuwa kwa mgawo wa stima,huyu MM ni kama Yuda Iskariot,tamaa ya talanta imemfanya kila mtu amdharauMkuu ulikuwa wapi nilpowapa watu wafyonze humu ndani?...Ulikosa uhondo lakini hamna noma.
Subiri nikiwahi home nitakutumia. Kwa sasa niko kibaruani na sina link hapa. Niliisave kwenye laptop yangu.