Mungu anakuona utajibu mbele zake chochote unachoongea au kuandika,maombi ya kuombea haki na amani yameanza kuleta majibu.Walioshiriki kuandaa mifumo Moja wao kaeleza wazi na kuombea msamaha watanzania.

Mifumo kusomana ni jambo zuri, tatizo lipo kwenye mfumo upi uusome upi..!! Hebu waza, wewe ungekuwa una uwezo wa kuuosma mfumo wa benki unakotunza hela zako, si ungehamishia hela za watu wengine kwenye akaunti yako..!!???
Tupunguze ujuaji? Wewe upo Dunia Yako mwenyewe. Haya hiyo mifumo inasomana na CCM. Wewe unaona ni ujuaji watu wakihoji? Daaaa! Umepoteza muda shuleni Dada