Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,666
- 5,058
Shukrani sana ndugu kwa ushauri mzuriHukuwa na sababu ya kusema wapenda mtelezo kwa kuwa umeridhia mwenyewe kuuza kwa bei hiyo, Lugha ya biashara muhimu ikawa laini isiyomkwaza mtu. Huo ni ushauri tu nimekupa unaweza kukufaa siku nyingine
Haina shida mkuuOk ntakutafta mkuu
Ustaarabu ni kitu cha bure ndugu.hii mifuko umeiba....tena pale mwenge nyuma ya MSFCH....
Nitafute kwenye hiyo namba 0654757823 au nitumie namba yako pm tuone tunaisafirisha vipi. Hata ukitaka zaidi ninakutumiaNitumie hiyo mia
Kilo ngapi hyoMifuko ipo ya kutosha
120 nduguKilo ngapi hyo
Ingia JF kupitia Google chrome zitafungukaKwangu picha hazifunguki