Baada ya kufungia mifuko ya plastiki mifuko ya ilotengenezwa kwa karatasi na nguo imeanza kuchukua nafasi huku wajasi wakiikimbilia fursa ili kuongeza kipato chao . Lakini katika nchi za wenzetu huko majuu wametengeneza mifuko kwa kutumia mihogo mifuko hii ni mizuri kwa mazingira lakini kwa njaa vile vile maana unaweza iloweka na kuinywa kama juice. Wataalamu wanasema ni kweli mizuri kwa mazingira lakini ni bei kubwa sana kuinunua ukifananisha na mifuko ya plastiki. Kujua zaidi >>