Anayeitaji huduma za mifugo yake kama matibabu na ushauri unakaribishwa sana,tupo dar es salaam tegeta ila maali popote tunakufikia.ghalama zetu ni nafuu sana.
Kwa maafisa mifugo wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi karibuni sana...*nafasi 2 za kuhamia wilaya mbinga kwa mtu yeyote aliye nje ya wilaya hiyo tuwasiliane humu