LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jan 10, 2014 #1 Kwa yoyote aliemuona Amavubi atoe msaada. Leo ni siku ya tatu hayuko nyumabani Dingi wake anamfafuta! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kwa yoyote aliemuona Amavubi atoe msaada. Leo ni siku ya tatu hayuko nyumabani Dingi wake anamfafuta!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 10, 2014 #2 afadhali umemuweka hapa, na mimi namtafuta..............
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jan 10, 2014 #3 Amavubi alipita hapa kwangu jirani na banda la kuku akiwa ameshika gobole na simu ya mchina kifuani,muambie amfuate karibu na mlimani city panahandaki atamuona Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi alipita hapa kwangu jirani na banda la kuku akiwa ameshika gobole na simu ya mchina kifuani,muambie amfuate karibu na mlimani city panahandaki atamuona
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 12, 2014 #4 Asante bysange
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jan 12, 2014 #5 Amavubi said: Asante bysange Click to expand... hahahaaaaaaaaa haya mkuu...