Wandugu, ndio maana nikaja hapa kupata walau utaalamu kwa nadharia, hope nitapata cha kujifunza.Nadhani Uende Ujifunze Ms Excel itakusaidia kujibu maswali yako.
Nikikupa jibu hapa halitakusaidia sana maana ile kitu ni Vitendo na si Nadharia.
Tupeane maujanja ya ExcelWandugu, ndio maana nikaja hapa kupata walau utaalamu kwa nadharia, hope nitapata cha kujifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
ingia youtube search Excel tutorial ujifunzeWakuu, mwenye kuijua hii program naomba anipe ujuzi kidogo. Mfano vitu vya mhimu ni kama vipi? Je, hasahasa inatumika kwa mambo yapi?
Mfano mtu akikuuliza unajua nini katika microsoft excell unapaswa kumjibu vitu vipi ambavyo ni mhimu katika program hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta e-mail yako inbox nikutumie notice ujisomeeWakuu, mwenye kuijua hii program naomba anipe ujuzi kidogo. Mfano vitu vya mhimu ni kama vipi? Je, hasahasa inatumika kwa mambo yapi?
Mfano mtu akikuuliza unajua nini katika microsoft excell unapaswa kumjibu vitu vipi ambavyo ni mhimu katika program hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuuuu. Acha kuzinguaSimply Microsoft excel ni program inayotumika kuhandle large amount of data.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapopinga kitu unatakiwa utoe solution ya hcho kitu kwasabab tayar unajua ndyo maana umepinga... tuambie kaz ya ms excel?Duuuuuuu. Acha kuzingua
Kumkoma nyani geladi
Mkuu unawez nisaidia ambayo naweza jifunza Tally boss na advanced computer application? AhsantehAnza kusoma hapa mdogo mdogo. Hakikisha una computer ukimaliza hii Nitakupa ya mwisho
Nmemaliza hii nipe na hyo inyingine, pia naomba unitumie katika mfumo ambao naweza kuidownload.Anza kusoma hapa mdogo mdogo. Hakikisha una computer ukimaliza hii Nitakupa ya mwisho
Ingia hapohapo mkuu utaikuta part two lakini mala tu utakapo pitia youtube ndo utakutana nazoNmemaliza hii nipe na hyo inyingine, pia naomba unitumie katika mfumo ambao naweza kuidownload.
Sent using Jamii Forums mobile app