Siku hizi makampuni mengi ya simu yanakuwa nazo hizo Micro chip. Nenda kwa kampuni husika ya mtandao wako. Kama hawana chip watakuwa na kile kifaa cha kukatia Sim card. All the best.
Kata mwenyewe na mkasi au kiwembe mkuu, mimi niliwahi kuikata ya kwangu na ikatosha na ikafanya kazi. Hakikisha unaikata ukubwa na shape kama ya ile groove itafanya kazi tu