Michuzi ujamtendea haki mzee makassy

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,153
BURIANI DK REMMY ONGALLA

NILIKUWA NA PRESSHA ASBH YA LEO GAFLA NILIPOONA BURIANI NA PICHA YA MZEE WETU MAKASSY NIKASEMA MZEE NAE KAMFWTA MJOMBA REMMY AMA ..KABLA YA KUSOMA CHINI
AHASANTE KWA KUTUKUMBUKA ILA MICHUZI KWA KICHWA CHA HABARI TULITARAJI PICHA YA UNLE REEMY TUNAVYOONA PICHA YA MZEE MAKSSY AKIDONDOKA HATA KESHO BAHATI MBAYA VIJANAWAKE WATAKUNGANGANIA MKUU REKEBISHA PICHA AMA KICHWA CHA HABARI
 
Huyo ndiye michuzi, mwanahabari anayeaminiwa sana na ccm na mpiga debe wao maarufu. Kuna sherehe za Kibalozi zilifanyika juzi Michuzi ametuhabarisha kuwa mmoja wa wanamuziki wa Kimataifa toka nchini MOGADISHU wametumbuiza
 
na mimi nilishangaa na nikaikuta kwenye blog nyingine nikasema kweli watu tumesoma shule tofauti au mitaala tofauti.
 
Lakini ndugu yangu, jitahidi basi kuwa unakumbuka nukta na mkato. Pia uwe unaihakiki habari yako. Inasumbua saana kuelewa ulichoandika kuliko hiyo habari ya Michuzi.
 
yaani mie nakubali ulichosema maana niliingia nikazani wow hii ndio alivyokuwa kabla ya kufariki then nikaona maandishi kwenye t-shirt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…