Tokyo40 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,065 Reaction score 1,926 Aug 10, 2015 Thread starter #21 Bavaria said: Hapo sasa tunaanza kuelewana. Kumbe kuna elimu inatakiwa ili kuielewa hiyo michoro? Ngoja nianze kujifunza hiyo elimu ya michoro. Click to expand... Exactly. Unaweza kujisomea mwenyewe historia ya michoro tofauti: Realism painting (Mona Lisa) Impressionism (Monet paintings) Expressionism ( Jawlensky paintings) Abstraction (John Houston paintings) Etc.
Bavaria said: Hapo sasa tunaanza kuelewana. Kumbe kuna elimu inatakiwa ili kuielewa hiyo michoro? Ngoja nianze kujifunza hiyo elimu ya michoro. Click to expand... Exactly. Unaweza kujisomea mwenyewe historia ya michoro tofauti: Realism painting (Mona Lisa) Impressionism (Monet paintings) Expressionism ( Jawlensky paintings) Abstraction (John Houston paintings) Etc.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 10, 2015 #22 Tokyo40 said: Exactly. Unaweza kujisomea mwenyewe historia ya michoro tofauti: Realism painting (Mona Lisa) Impressionism (Monet paintings) Expressionism ( Jawlensky paintings) Abstraction (John Houston paintings) Etc. Click to expand... Asante, nitafanya hivyo mkuu.
Tokyo40 said: Exactly. Unaweza kujisomea mwenyewe historia ya michoro tofauti: Realism painting (Mona Lisa) Impressionism (Monet paintings) Expressionism ( Jawlensky paintings) Abstraction (John Houston paintings) Etc. Click to expand... Asante, nitafanya hivyo mkuu.
Tokyo40 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,065 Reaction score 1,926 Aug 12, 2015 Thread starter #23 Picha hii "Head of a Young Woman" imechorwa na Pablo Picasso mwaka 1906. Iliibiwa Spain kwa mmiliki na kupatikana na polisi wa Kifaransa katika kisiwa cha Corsica mwezi Julai. Mchoro una thamani ya Dola milioni 26.
Picha hii "Head of a Young Woman" imechorwa na Pablo Picasso mwaka 1906. Iliibiwa Spain kwa mmiliki na kupatikana na polisi wa Kifaransa katika kisiwa cha Corsica mwezi Julai. Mchoro una thamani ya Dola milioni 26.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,563 Reaction score 51,906 Aug 12, 2015 #24 Ngoja niungane na wenzangu kushangaa Dola mil26? Labda kama ilichorwa kwa wino wa dhahabu na kuoewa frem iliyo sheheni madini otherwise naona kichwa kama cha punda tu hapo
Ngoja niungane na wenzangu kushangaa Dola mil26? Labda kama ilichorwa kwa wino wa dhahabu na kuoewa frem iliyo sheheni madini otherwise naona kichwa kama cha punda tu hapo
Tokyo40 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,065 Reaction score 1,926 Aug 15, 2015 Thread starter #25 Marekani imerudisha mchoro wa Pablo Picasso ulioibiwa kutoka katika jumba la makumbusho, Paris, miaka 14 iliyopita. Mchoro huo "La Coiffeuse" ni wa aina ya cubist. Ulichorwa mwaka 1911 na una thamani ya US$ milioni 15. Ulikutwa katika meli iliyowasili kutoka Ubelgiji mwaka jana. source:bbc.com
Marekani imerudisha mchoro wa Pablo Picasso ulioibiwa kutoka katika jumba la makumbusho, Paris, miaka 14 iliyopita. Mchoro huo "La Coiffeuse" ni wa aina ya cubist. Ulichorwa mwaka 1911 na una thamani ya US$ milioni 15. Ulikutwa katika meli iliyowasili kutoka Ubelgiji mwaka jana. source:bbc.com