Michepuko punguzeni mauno

Hahahahaaaa walahi nakugawa haiwezekani ukijulie namna hii. Mwenzio hata maji spesho sinywi. Nakunywa ya bomba tena yasiyochemshwa. Unanijuliaje wewe....??
nkishakuwekea maji ya mtoni baada ya kutoka kwenye majaruba ya mpunga unajisugua na dodoki la mfuko wa sukari,hapo ukitoka unashushia viazi vitamu na chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…