Sina time ya kujibizana na chalii anaekojoa kachuchumaa..//í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Binti wa kimasai kweli unajua kuchamba, nafurahi kua we si tapeli haujui kudanga/
Wewe sio mbegu wala farasi,,na ninauwezo wa kukupanda, wenye wivu na wanaotughasi ipo siku watasanda/
Mvumbo sina sumaku, mchele mchele umenasaje?/Ukiwa unapambana na jali yako../
Angalia usitingishe hali ya mwenzako..//
Una flow za kichoko..//
Mc fake huna maajabu huwezi battle..//
Maisha kupigana tafu, unapochuma mchicha mi ntapakua kisamfu/Sina time ya kujibizana na chalii anaekojoa kachuchumaa..//
Me mdo yule mentor wa Kendrick Lamar..//
Huyu ree ni mjinga..anajiona star../
Nakukosoa unapinga..uku una njaa..//
Nko apa fas duas../
Me ni baba lao kaa dangote../
We kwanza wangu mfuasi../
Nakuona kaa maua sama tu wa iokote../
Kroooo..!!Kroooo..!!ZzzzzzzzMvumbo sina sumaku, mchele mchele umenasaje?/
Acha ushakunaku, sema bei mali nalipiaje/
Nitacheza kama Lukaku, au mtoto unasemaje/
Nishavuta tumbaku, sasa mzigo nauachaje/
Acha ninyooshe goti, leo niwe mwepesi/
Jiachie yote yako shost, vaa bikini siyo pensi/
Nazama ile ki ghost, japo kwa God ni kesi/
Mvumbo ni kama Roboti, siogopi kinyesi/
Bablai kroooo!!Kroooo!!Zzzzzzz ntakudaba morrow BuddahMaisha kupigana tafu, unapochuma mchicha mi ntapakua kisamfu/
Mwanangu wa chuga hizi mbio ndefu utamia mapafu, situmii hirizi kamuulize mc rafu/
Kama ni muigizaji..basi ni Mwijaku na wenzake../Sasa nawasha Mshumaa, kote wanione Baba lao/
Wanaokata Uno kwa njaa, muhuni mi' ndio dawa yao/
Kichwani mistari imejaa, haizuiliki hata kwa ngao/
Mgumu sitaki u star, japo unanililia niwe nao/
Wanapagawa/ nawanawa/ sizuiliki kama shah*wa/
Wanakata mbawa/ ila bado nipo sawa/ hawa watauwawa/
Hili chaka la tembo, mbwa nawaonea huruma/
Huku hakuna urembo, ukitafunwa ni suna/
Scarz umehitimu rap ila cheti huna..Segerea keko..//Maisha kupigana tafu, unapochuma mchicha mi ntapakua kisamfu/
Mwanangu wa chuga hizi mbio ndefu utamia mapafu, situmii hirizi kamuulize mc rafu/
Watu tunapotezana kumbukumbu haipotei../Je Copyright umezingatia
Nilitamani nipate mshindani, thread ipate kunoga/Mmeniachia mtu mmoko cheki nnavokichakaza..|
Mna tungo milegezo asa me nazikaza..|
Sio Mvumbo wala Scars..|
Wote wako lege lege kaa Samatta hayupo stars..|
Mnajiona mko salama akati mko nusu uchi mmevaa Gucci..Nyie matahira..\\
Mvumbo kainama kavaa Versace..Alaf me nna Fila..\\
Kimya kina mshindoMmeniachia mtu mmoko cheki nnavokichakaza..|
Mna tungo milegezo asa me nazikaza..|
Sio Mvumbo wala Scars..|
Wote wako lege lege kaa Samatta hayupo stars..|
Mnajiona mko salama akati mko nusu uchi mmevaa Gucci..Nyie matahira..\\
Mvumbo kainama kavaa Versace..Alaf me nna Fila..\\
Mvumbo usitumie mafumbo unapotoa tungo, mtaani skendo zinavuma ngareroo kapigwa mtungo/Nilitamani nipate mshindani, thread ipate kunoga/
Ila kutazama nani anae ghani, aaah! Kumbe ni shoga/
Sasa nikikuandama dimbani, si nitayakoroga/
Watu wote watadhani, kwamba mi nakula kiboga/
Wewe ni Mc wa wapi..Mwenye punch za kiwhack..||Nilitamani nipate mshindani, thread ipate kunoga/
Ila kutazama nani anae ghani, aaah! Kumbe ni shoga/
Sasa nikikuandama dimbani, si nitayakoroga/
Watu wote watadhani, kwamba mi nakula kiboga/
Mbaya shada..We soro vunga..//Kimya kina mshindo
Mvumbo usitumie mafumbo unapotoa tungo, mtaani skendo zinavuma ngareroo kapigwa mtungo/
Ngareroo tuliza wenge acha kogo, mvumbo hakufikishi nije na vumbi la kongo?