Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,553
.Hii sio mada/ ya siasa au anasa/ ili watoto wachangie/
huwezi ona makada/ warembo wa kisasa/ wanataka za "njoo ubambie"/
Hakuna ada/ ila vipi wajaze kurasa/ lazima wakimbie/
Juu kama KISHADA/ Mvumbo nawanyanyasa/ ni vipi niwahurumie/
Nachoma dawa/ nakohoa nipo sawa/ wanapagawa wanaandika mashudu/
Hawana power/ nawanawa hawa chawa/ nawachinja kibudu/
Ulipoweka Nukta, nikajua tayari nimekuacha mbali/ na kwangu huwezi kufurukuta../
Respect for not rhyming basicWakati mjuba nasaka fuba, kesho nisije juta/
Ndio muda Yuda, analia eti nimeweka nukta/
Kweli inakuja au hajachuja, kuwa hawezi furukuta/
Iwe kwa Uda au boti za Unguja, bado hawezi nikuta/
Kwenye tungo naonyesha ufanisi/
Nagonga nyundo uki test ku diss/
Vina Rundo mpaka utaanza kujihisi/
Kwamba Mvumbo rabda ni Taasisi/
Hip hop kwangu dawa, zaidi ya mzizi wa Mkungu/
Nikiisikia napagawa, ka' nimeona chupi nyekundu/
Uko vizuri shitua kama zakina busta rhymesNafumua ubongo, kama nina kinu cha ballistic/
Waliodhani uongo, leo wanasema nimepanic/
Marapa wa michongo, natembeza tu stick/
Nina madini kama Congo, kwenye kichwa hiki/
M.V.U.M.B.O nazielewa herufi hizi sita/
M - mshindi uwanja wa vita/
V - vumilia na kisha wajibika/
U - usife moyo hata usipo heshimika/
M - Mungu yupo nawe kila dakika/
B - Bora peke yako kuliko ushirika/
O - Okoa Hip Hop hakikisha ina sikika
Ndio maana naendeleza kasumba/ hawawezi hili rumba/
Leo chatu kaliwa na mbwa/ Demu kahonga mavumba/
Mpangaji kamfukuza mwenye nyumba/
Tozi kavaa za mtumba/ kiongozi kacheza akadumba/
Ooh! Naweza chana mpaka majogoo, maana vina vinajiseti/
Hawawezi toa droo, hata Melo akiweka visenti/
Upendo umefika mwisho, wapendanao wanajinyonga/Kuna muda natamani, tuishi kama zamani../
ila sijui mkuda gani, alievuruga amani/
Amani ya ndoa haipatikani, kila kitu ananikosoa hata uwe utani/
Sioni tena raha ya kukaa nyumbani, yaani bora uishi vitani kuliko ndoa isio na amani../