Michael Richard Wambura

mock

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
13
Reaction score
19
Samahanini wakubwa.
Hivi huyu Michael Wambura kwanini huwa hapendwi na viongozi wenzake lakini chaguzi nyingi anashinda?
Huwa anapingwa sana.
Sio TFF
Sio Simba
Sio Kule Mara
Hakuna nafasi anagombea bila mapingamizi. Lakini huwa anashinda.

Mfano TFF walimfungia maisha na kuondolewa kwenye umakamu lakini mahakama imemrudisha
Ana nini huyu jamaaa?
 
Katika Maisha na hasa viongozi ama unapokuwa mvivu wa kufikiri na kuchukua maamuzi yako ndio hilo hutokea...
a) Mtu unahamia mahali kwenye taasisi nk unakuta watangulizi wako wanasema Fulani mbaya ,Fulani hivi nk na wewe bila utafiti ama kuanza ukurasa wako unabeba hayo….
b.) Mara nyingi jipe nafasi fuata taratibu mlizojiwekea na kagua ama fungua ukurasa wako mpya …..have your personal opinion don't rely on others decisions make your own....
c.)Mike have fallen into these type of people ….
d.) the resent issues are in court lets not discuss here it will take its own course and justice will be taken .
 
Huyu bwana anajifanya anapenda mpira wa miguu. Yeye anapenda pesa zitokanazo na mpira. ni mpigaji (mwizi) mzuri sana. Hana tofauti na yule kiongozi wa TFF ambaye ana kesi ya uwizi mahakamani.
 
Swali fikirishi kweli.Labda anakosa ile aiba ya "Teamwork" kwenye nafasi za uongozi.Labda.Lakini hata katika mazingira ya kawaida ukijikuta wewe unakorofishana na kila mtu siyo nyumbani,makazini,nyumba za ibada na sehemu tofauti tofauti za kijamii tambua kwamba wewe ndiye mwenye matatizo na siyo wale unaokorofishana nao.
 
'Swali fikirishi kweli.Labda anakosa ile aiba ya "Teamwork" kwenye nafasi za uongozi.Labda.Lakini hata katika mazingira ya kawaida ukijikuta wewe unakorofishana na kila mtu siyo nyumbani,makazini,nyumba za ibada na sehemu tofauti tofauti za kijamii tambua kwamba wewe ndiye mwenye matatizo na siyo wale unaokorofishana nao."
KASONGO;
Mkuu narejea mawazo yako hapo juu na kuafiki kama sehemu ya mtu kujitathimini...LAKINI KUBWA NINALOLIONA NI WATU KUTOCHUKUA MUDA WA KUWA NA MAWAZO YAO NA MAAMUZI KWA KUFUATA heresay za watangulizi wao ni kaugonjwa kabaya mno ...MPE MTU MUDA KUFANYA NAE KAZI NA FANYA MAAMUZI THABITI YA KWAKO.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…