Wanafiki sana hao, achana nao.
Last month ni week 2 zilizopita; kisa cha kuwa na haraka kutangaza, hata kama unatakiwa utangaze?
Na wanasema could turn to skin cancer maana yake kwa sasa sio cancer. Hiyo ya spots of skin cancer itakuwa chumvi tu.
Unaona walivyowadaku!
Long live Michael.