Kwa wale waliosoma Science vizuri wanajua kuwa, kwenye systerm kuna mahala inaenda kutoa majibu.Haya mambo ya siku ya mwisho ni kujifariji , tunaishi mara moja ukishindwa kujipambia na kupambania haki zako ,utabaki ukijiraji tu .
Wanasayansi wa mpitimbi , usipo pambania haki yako, utakufa bila kuipata na maisha yatasonga ,utakua mbolea na mimea itastawi tu, endeleeni kujifariji kwa meneno hayo.Kwa wale waliosoma sayance vizuri wanajua kuwa, kwenye systerm kuna mahala inaenda kutoa majibu.
Mfano; Jua linapowaka linatoa nguvu approximately $380 billion terawatts kwa sekunde; hii inaonesha kabisa kuwa, kuna siku jua litazimika kabisa au litapungua nguvu na ndio mwisho wa dunia.
Lakini pia; mtu hawezi kupindisha sheria (kwa mfano) na kuchukue shamba la mtu halafu iishie tu hapo; LAZIMA kuna mahala ambapo haki itatolewa iwe hapa duniani au baada ya kifo (day of judgement)
WANA SAYANCE TUNAKUBALIANA KABISA KUWA, IPO MAHALA HAKI ITATOLEWA NA NDIO VITABU VYA DINI VIKATUAMBIA NI DAY OF JUDGEMENT!
Sayance ndio nini?Kwa wale waliosoma sayance vizuri wanajua kuwa, kwenye systerm kuna mahala inaenda kutoa majibu.
Mfano; Jua linapowaka linatoa nguvu approximately $380 billion terawatts kwa sekunde; hii inaonesha kabisa kuwa, kuna siku jua litazimika kabisa au litapungua nguvu na ndio mwisho wa dunia.
Lakini pia; mtu hawezi kupindisha sheria (kwa mfano) na kuchukue shamba la mtu halafu iishie tu hapo; LAZIMA kuna mahala ambapo haki itatolewa iwe hapa duniani au baada ya kifo (day of judgement)
WANA SAYANCE TUNAKUBALIANA KABISA KUWA, IPO MAHALA SYSTEM ITATOA MAJIBU NA NDIO VITABU VYA DINI VIKATUAMBIA NI DAY OF JUDGEMENT!
HakikaHaya mambo ya siku ya mwisho ni kujifariji , tunaishi mara moja ukishindwa kujipambia na kupambania haki zako ,utabaki ukijiraji tu .
Usichukulie mzaha; SIKU ZA MWISHO NI NGUMU SANA ZAIDI YA UGUMU WOWOTE UMEWAHI KUUWAZIA HAPA DUNIANI........Haya mambo ya siku ya mwisho ni kujifariji , tunaishi mara moja ukishindwa kujipambia na kupambania haki zako ,utabaki ukijiraji tu .
Swala kuliwa na simba akisema amuachie Mungu atapata haki siku ya mwisho ,hakutamtisha simba kumtafunaHakika
Mzaa upi? Endelea kusubiri siku ya mwishoTusichukulie mzaha; SIKU ZA MWISHO NI NGUMU SANA ZAIDI YA UGUMU WOWOTE UMEWAHI KUUWAZIA HAPA DUNIANI........
Mkuu, hayo mambo unayoyaasa hayawezi kuisha as long as binadamu ni kama Mnyama lazima aishi katika kutafta satisfaction iwe kwa kuumiza wengine au lah
Mkuu huyo Mungu unaye mlilia hayupoUKISOMA BIBLIA; AMRI KUU 10 ZA MUNGU, UTAKUTA KUWA, TAKRIBANI SABA (7) ZINAHUSU BINADAM NA BINADAM NA TATU TU NDIO ZINA MUHUSU MUNGU MWENYEWE MOJA KWA MOJA,
HIVYO KITAKACHOINGIZA BINADAMU KWENYE MOTO WA MILELE, NI MATENDO YA BINADAM KWA BINADAM...
ANGALIA UNAVYOISHI NA WATU WENGINE, NA NJIA UNATUMIA KUPATA KIPATO CHAKO.....
MUNGU HADHIHAKIWI......Muda bado tunao wa kujirekebisha na kupta uzima wa milele....