Wakiweza haya kwakweli tuseme za ukweli wana haki yakuongezewa mda, na itakua wameonesha ujasiri ule ambao watanzania wanautaka. Ngoja wazifanyie kazi hizi changamoto kwanza..!!CCM haipo tena jamani,lazima muelewe hivyo.Tumeshawashtukia kwani hata wakifanya hivyo baada ya uchaguzi mtindo utakuwa ni ule ule.So me naona wakae tu pembeni
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Tuseme wamikia kiwacho hicho mkuu. Kwa nini tusiwapeni mda na msaada stahili kwanza..!!Haiwezi tenda majaabu hayo hata siku moja,,maana kufanya hivyo ni sawa na kuangamiza nyoka shimoni kwa maji ya moto ingali umejificha ndani ya shimo hilo..
Mhimu kwao ni kukubali kupumzika ili watendewe iwapasavyo.
Habari za jioni wanaJF,
Ikiwa imebaki kama miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, chama cha CCM inabidi
kituoneshe maajabu kwa kuhakikisha kwamba haya mambo nitakayo yataja hapa chini yanafanyika;
1. Kuwakamata na kuwachukulia hatua watuhumiwa wote wa Ufisadi bila kubagua au kupepesa midomo, adhabu kali ikiwa ni pamoja na kuwafilisi wale watakao bainika na hatia.
2. Kuwafuatilia na kuwakamata watajwa wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya (pamoja na mtandao mzima) kuwachunguza na kuwahukumu ipasavyo, huku hukumu zao zikitangazwa mbele ya Umma.
3. Kuwakamata na kuwahukumu wanaosafirisha nyara za serikali na vitendo vingine vyote vya ujangili.
4. Kupambana na wakwepa kodi wote ambao wanalitia hasara taifa huku wakizidi kuwaumiza wananchi.
Ikiwa kama haya yanaonekana ni ndoto kwa CCM nina imani kwamba yanawezekana tena kwa urahisi tu kwa baadhi ya vyama vya upinzani hasa hasa CHADEMA
MY TAKE: Kama CCM bado inahitaji ridhaa ya wananchi, basi tunaiomba ipambane na changamoto hizi
Jee ni kweli yatatokea..
Mambo ni mengi mkuu, sijui watafanya lipi waache lipi..??Umesau
Kuwachukilia hatua polisi wote walioshiriki kuua raia wanaodai haki zao kwa maandamano,
Pia kuwachukulia hatua viongozi wote wa usalama wanaongoa watu kucha na meno kuilinda ccm
Mkamateni kwanza dr slaa wa ufisadi anaofanya ndani ya chama chenuHabari za jioni wanaJF,