Miaka hiyo!!!

Picha ya juzi kati tu. UDA bana ilikuwa milango mbili. Tunaingia mlango wa nyuma kutokea mbele. Aftena konda akikaa pale mlangoni na limashine lake la tikiti. We, unaingia mwanaume unakaa ukisogea mbele ili usisumbue watu wakati wa kushuka. Bwana ilikuwaga raha hiyooooo.
Haya madogo ya mastaff wa uda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…