Katika sherehe za miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika mwaka jana, pamoja na vitu vingi vilivyofanyika siku ile kitu kilichonifurahisha zaidi ni ile Alaiki ya watoto. Walifanya michezo mbalimbali ya kutengeneza maumbo mbalimbali yanayowakilisha vitu mbalimbali vya nchi, wakufunzi walikuwa ni wachina.
Katika sherehe za miaka hamsini na moja ya uhuru pia yamefanyika mambo mengi, lakini ile alaiki ya wototo umeionaje ukizingati wakufunzi walikuwa ni waswahili wenzetu.