Ina maana huko hakuna mbunge?

Ina maana huko hakuna mbunge?

Dizeli,sukari bei gani huko?sisi tunawekeza bagamoyo bandari,uwanja wa ndege mwingine huko nkasi mlie tuu!after all serikali haitambui uwepo wenu tanzania
*Diesel na petrol lita kuanzia 6000/-Dizeli,sukari bei gani huko?sisi tunawekeza bagamoyo bandari,uwanja wa ndege mwingine huko nkasi mlie tuu!after all serikali haitambui uwepo wenu tanzania

*Diesel na petrol lita kuanzia 6000/-

Sio huko tu wakuu hata hapo sengerema jimbo la buchosa tarafa ya buchosa kijiji cha lushamba. Vitongoji vya kasarazi, nyamango na soswa wanafunzi wa vitongoji hivyo vyote lazima wapande mtumbwi asubuhi kuifuata shule iliyoko soswa na mchana warudi nyumbani kula kisha wapande tena mtumbwi kuja shuleni kwa ajili ya masomo ya jioni ndo wapande kwa mara ya mwisho jioni kurudi makwao. Nauli ni tsh.300 kwa kila safari moja. Huku nako walimu waliopo ni wa kujitolea na shule ilifungwa toka tarehe 20 augost hadi tarehe 12 sept kwa ajili ya mapumziko ya eid. Huku nako wamethubutu wameweza na wanasonga.

*Diesel na petrol lita kuanzia 6000/-

Si mlitaka maisha bora kwa kila mtz?....sasa km watu wa dar wanalalamika kilka uchao unadhani huko ambako ccm wanawaambia waandishi makini kuwa hata mkiandika mabaya kuhusu serikali kula vijijini hawasomi magazeti nimeamini kweli maisha bora kwa kila mtz bila kiwete na ccm yanawezekana ila kwa kuwep[o watu km kikwete na ccm na ufisadi wao...basi mimi naema itabaki story

mbunge wao atakuwa ni yule mwenyekiti wa usingizi bungeni.