wakuu salam kwenu
nianze kuwatakia mtihani mwema wadogo zangu 2017
hoja yangu ni hii inayoitwa elimu ya msingi, nilidhani ndio msingi wa maisha ya mwanadam katika hali zote kumbe sio.
ni mwaka wa 15 nipo mtaani hakuna chochote chenye manufaa katika maisha yangu ama jamii yangu kilichozaliwa na elimu hii ya msingi!
ingawa sikuweza kuendelea labda ndio sababu nimekwama lakini hata wale walioendelea naona nao wamekwama pia.
nasukuma randa mtaani huku maisha yakiwa hayana mwelekeo!! ilhali nina familia juu!!
najipa pole na wa