Kama wewe huwezi nyamaza Kuna wanaowezaDaaah! Yaani mtu mmoja afanye yote hayo au atakuwa anasimamia?
Hakuna anaeweza acha uongoKama wewe huwezi nyamaza Kuna wanaoweza
Kama wewe huwezi nyamaza Kuna wanaoweza
Nilimpa mtu hili tangazo cha ajabu aliyewasiliana nae kwenye hiyo namba kasema hana habari na kazi hiyo iliyotangazwa.Salam..nahitaji mhudumu wa hotel sio lazma awe amesomea hotel management au hotelier lakini awe na uzoefu wa kazi kwa:
1. Kuserve wateja chakula na vinywaji
2. Kufanya House keeping
3. Usafi wa jumla
4. Akiwa na uzoefu wa kupika ni bora pia
Hotel ipo Morogoro Mjini na sehemu ya kulala kwa atakaekuwa nje ya mkoa ipo.
Interested awasiliiane kwa msg namba 0686 666666
Kweli Mkuu?usikute alikosea nambaNilimpa mtu hili tangazo cha ajabu aliyewasiliana nae kwenye hiyo namba kasema hana habari na kazi hiyo iliyotangazwa.
Nilipiga pichs, nikatuma na huyo mtu anaishi huko Tangazo linapoelekeza.Ni utoto tuu wa watu wa humu kujimwambafaiKweli Mkuu?usikute alikosea namba
Kwamba jamaa anatuchukulia poa.Nilipiga pichs, nikatuma na huyo mtu anaishi huko Tangazo linapoelekeza.Ni utoto tuu wa watu wa humu kujimwambafai
Huoni hata majukumu alivyoyarundika kwenye kazi mojaKwamba jamaa anatuchukulia poa.
Kama wewe huwezi nyamaza Kuna wanaoweza
Hapa kuna kitu,ngoja tuone muafaka wake.Daaah! Yaani mtu mmoja afanye yote hayo au atakuwa anasimamia?
Mwisho upi tena? Soma post #8Hapa kuna kitu,ngoja tuone muafaka wake.
Huyo mtu anajibu vzr na anaelekeza vzr lkn hapo anapoelekeza hawana kazi, wanashangaa nani kasema pale kuna kazi.Mwisho upi tena? Soma post #8
Huyu ni mbabaishaji sana. Aliwahi pia kuweka tangazo la mtu wa kusimamia/kuangalia mifugo yake nadhani kuku wa mayai,nk. Huko huko Morogoro. Ila ukipiga simu anaikata hapokei. Ukirudia sana anapokea unajieleza, anakuhoji hoji halafu hakwambia hakutaki ama laa, hata hili la hotel pia hivo hivo. Ni kama anatangaza nafasi za kazi ambazo either hazipo,au kama zipo basi yeye sio mhusika mkuu. Sasa sijui ni kwa faida ya nani anafanya haya!Huyo mtu anajibu vzr na anaelekeza vzr lkn hapo anapoelekeza hawana kazi, wanashangaa nani kasema pale kuna kazi.
Asante kwa kutujuzaHuyu ni mbabaishaji sana. Aliwahi pia kuweka tangazo la mtu wa kusimamia/kuangalia mifugo yake nadhani kuku wa mayai,nk. Huko huko Morogoro. Ila ukipiga simu anaikata hapokei. Ukirudia sana anapokea unajieleza, anakuhoji hoji halafu hakwambia hakutaki ama laa, hata hili la hotel pia hivo hivo. Ni kama anatangaza nafasi za kazi ambazo either hazipo,au kama zipo basi yeye sio mhusika mkuu. Sasa sijui ni kwa faida ya nani anafanya haya!