Nimetoka kunywa supu mitaa ya kati cmu yangu niliacha mezani na kwenda kunawa mikono mhudumu wkt anatoa vyombo akatoa na cmu yangu yaani kitendo kimefanyika ndani ya dk.2 nashangaa cmu haionekani. Kuuliza watu pale kila mtu anakataa wakaitwa wahudumu wote wakakataa mzee mmoja akasema taja namba yako kijana nikataja akapiga heee kati ya wahudumu 8 mmoja akaanza kucheza Kiduku pale watu tukawa tunashangaa mzee akawa anasema mbona cmu inaita dah kumbe yule aliye kuwa akicheza kiduku ndiye aliye nikwapulia na kuificha kwenye nyeti zake sasa wkt cmu inaita ilikuwa inamtekenya i see mmmh ikabidi aitoe pale dah na kuiweka mezani imetoka na shombo lol imeniradhimu ninunue sprit na kuipiga soap soap
Akina Baba_Enock, Asprin, Kimey, Teamo, Bigirita, Kaizer na wengineo tuwe makini tunavyo acha cmu mezani heri ya kina dada wanatembea na mikoba mikuuuubwa
**^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**:cheer2:
Hivi kumbe njia rahisi ya kucheza kiduku kwa kina dada ni kuweka simu yenye vibration sehemu sehemu na kuipiga.....Aisee kweli Chuda Raha!
HAahah BAbu umeona ehee....afu alivyo na kusudi kaweka vaiburesheni mwenzake katekenyeka.......sijui hakufika na kumwaga.........
Pedejee ungetoa tu line bana ukamwachia jumba (Ingeondoa adha ya kuishika simu kwa mkono wa mashoto ati......)
Nimetoka kunywa supu mitaa ya kati cmu yangu niliacha mezani na kwenda kunawa mikono mhudumu wkt anatoa vyombo akatoa na cmu yangu yaani kitendo kimefanyika ndani ya dk.2 nashangaa cmu haionekani. Kuuliza watu pale kila mtu anakataa wakaitwa wahudumu wote wakakataa mzee mmoja akasema taja namba yako kijana nikataja akapiga heee kati ya wahudumu 8 mmoja akaanza kucheza Kiduku pale watu tukawa tunashangaa mzee akawa anasema mbona cmu inaita dah kumbe yule aliye kuwa akicheza kiduku ndiye aliye nikwapulia na kuificha kwenye nyeti zake sasa wkt cmu inaita ilikuwa inamtekenya i see mmmh ikabidi aitoe pale dah na kuiweka mezani imetoka na shombo lol imeniradhimu ninunue sprit na kuipiga soap soap
Akina Baba_Enock, Asprin, Kimey, Teamo, Bigirita, Kaizer na wengineo tuwe makini tunavyo acha cmu mezani heri ya kina dada wanatembea na mikoba mikuuuubwa
Huyu Fidel kila siku tunamwambia hizi baa na mijengo ya manzese sio zenyewe kabisa....Ivi mjukuu mtukutu, kumbe simu ikiwekwa sehem sehem bado inakuwa na netiweki?
Name Calling Babu...You have been warned
Hahhah hilo swali la netiweki nalo neno.........sijui ni mtandao gani huo netiweki yake iko na strength
ahhh ndugu wala haukua kwenye supu .Sema tu ulimu haidi utampa uta......u ukashindwa so akakukong'oli phone.
Pole lkn haikuwa inanuka alivyokupa bwanaaaa.
unaona kama dk.2 chache ehee? Hizo hizo mm nimelizwa cmu yangu